Mh Makonda na Mh Mdee Sikilizeni Kilio cha Wananchi wa Wazo Hill na Madale

Tafadhali mfikishie mbunge wa KAWE Halima Mdee na Mkuu wa Wilaya Kinondoni Paul Makonda kuhusu kero ya barabara kutoka Wazo Hill hadi Madale yaani ni mbovu mbovu hatari 
kukiwa na jua kuna vumbi la hatari huoni mbele mita tano na Wakati wa mvua ni tope la kunasa.

Tafadhali tusadie kurekebisha hii hali ili tuweze kusema na sisi tuko mjini!
Share on Google Plus
    Blogger Comment
    Facebook Comment

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment