MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MH PAUL MAKONDA AENDELEA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA WILAYA YAKE SAFARI HII NI KATA YA WAZO

 Bibi Rosemary Mkasa akitoa historia ya maeneo hayo ya ardhi yanayogombaniwa.

  DC Makonda akisaini kwenye kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Mtaa wa Kilimahewa Juu uliopo Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam kuzungumza na wananchi kuhusu mgogoro huo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo, Frank Kalinga na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo, Kuruthum Kazema.
 Wananchi wa mtaa huo wakiwa kwenye mkutano huo

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwahutubia wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa Juu iliyopo uliopo Kata ya Wazo Dar es Salaam jana, alipofika kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu muda mrefu.

 Ofisa Tarafa wa Kawe, Nicodemus Shirika akizungumza katika mkutano huo.
Share on Google Plus
    Blogger Comment
    Facebook Comment

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment