KERO YA HALI MBAYA YA SOKO LA MBURAHATI KUTATULIWA, MEYA WA KINONDONI MH YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA SOKO NA KUTANGAZA UJENZI WA SOKO JIPYA KUANZA MWEZI UJAO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wafanyabiashara wa soko la Mburahati wakati wa ziara yake sokoni hapo ambapo alikutana na wafanyabiashara hao kwa ajili ya kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh Yusuph Mwenda akisisitiza jambo kwa viongozi wa soko la Mburahati wakati alipofanya ziara sokoni hapo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo. Kushoto kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge, Katibu wa wafanyabiashara wa soko hilo, Fikiri Pazi na wafanyabiashara wengine.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh Yusuph Mwenda akimsikiliza kwa makini mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Mburahati, Mkude Higilo (kulia) wakati alipofanya ziara sokoni hapo kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh Yusuph Mwenda (wa pili kulia) akimsikiliaz kwa makini Katibu wa wafanyabiashara wa soko la Mburahati, Fikiri Pazi (kulia) wakati akimwelezea kuhusu maendeleo ya biashara wakati wa ziara yake sokoni hapo kuzungumzia kuanza kwa ajili ya mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo. Kulia kwake ni Naibu Meya, songoro Mnyonge na viongozi mbalimbali.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh Yusuph Mwenda (kushoto) akiongozwa na Katibu wa soko la Mburahati, Fikiri Pazi kukagua mipaka ya soko hilo wakati alipofanya ziara sokoni hapo na kukutana na wafanyabiashara kwa ajili ya mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh Yusuph Mwenda akikagua mipaka ya soko la Mburahati, wakati alipofanya ziara sokoni hapo mwishoni mwa wiki na kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo Dar es Salaam.

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh Yusuph Mwenda (katikati) akiongozwa na viongozi wa soko la Mburahati kukagua mipaka ya soko hiyo wakati alipofanya ziara sokoni hapo na kukutana na wafanyabiashara kwa ajili ya mradi wa ujenzi mpya wa soko hilo mwishoni mwa wiki. Kushoto kwake ni Naibu Meya, songoro Mnyonge, Katibu wa wafanyabiashara wa soko hilo, Fikiri Pazi (kulia) na viongozi wengine.
Share on Google Plus
    Blogger Comment
    Facebook Comment

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment