Kero toka Manzese Midizini na Mawasiliano Bus Terminal, Wahusika sikilizeni kero hii

Habari keroyako.com, kero yangu ni kuhusu wafanyabiashara wanaofanya biashara maeneo ya barabara zinazoendelea kujengwa hapa Dar es salaam, pia ubora wa barabara ya Manzese Midizini kuja Mburahati haina ubora kabisa kwani imeshaanza kubomoka hata mwaka haujaisha!

Pia barabara ya Mugabe kuelekea kituo kipya cha mabasi Mawasiliano tunaomba iwekwe lami kwani ina sababisha vumbi kwa wakazi walio jirani na barabara hiyo imekuwa ni kero sana.
Share on Google Plus
    Blogger Comment
    Facebook Comment

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment