Baada kujengwa Kiwanda Kikubwa cha cement, Wananchi wa Mtwara Vijijini kuendelea kunufaika na ujenzi mpya wa Bandari ya Kisasa utakaoanza mapema mwaka huu


Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgao, Kata ya Maumbu, Tarafa ya Mayanga, Mtwara Vijijini, Shaa (kushoto) akimuonesha Alhaji Aliko Dangote eneo la uwanja aliopewa na wanakijiji kwa ajili ya ujenzi wa makazi yake. Kijiji nacho kitanufaika na Alhaji Aliko Dangote ambaye atawajengea shule, hospitali pamoja na miradi mingine ya maendeleo na kuwaondolea kero mbali mbali walizonazo.Alhaji Dangote akipata maelezo kuhusu eneo alilopewa na Serikali ya Kijiji cha Mgao, Kata ya Maumbu, Tarafa ya Mayanga, Mtwara Vijijini ambapo anatarajia kuanza kujenga bandari hiyo mapema mwaka huu.Kiwanda cha saruji kinachoendelea kujengwa hivi sasa. 
PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
Share on Google Plus
    Blogger Comment
    Facebook Comment

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment